Swahili

KUUSU  BIBLIA
Biblia ina tufundisha wazi  kwamba  ni kitabu cha Mungu  kilicho andikwa na wanadamu kwa uwezo wa roho mtakatifu.
Biblia ni maandiko matakatifu ambacho kinaleta  amani na furaha . Zaidi sana biblia  ina tujibu wakati tunapo kuwa na maswali mbalimbali  kuusu  uwepo wetu na mwisho wetu( yaani  Tangu umbaji hadi mwisho wetu) na kutonyesha  mambo yaliyo mema na yaliyo mabaya mbele za Mungu na mbele ya sisi wanadamu.
Tunapo soma (2 thimotheo 3:16 ) Ina sema” Kila andiko lenye pumzi ya  Mungu ,la faa kwa mafundisho ,na kuwaonya watu makosa yao,na kwa kuwaongoza,na kwa kuwaadibisha  katika haki.
Neno linalo andikwa katika kitabu hicho haya kutoka katika mawazo ya wanadamu,bali Roho mtakatifu alizungumza ndani  ya   wanadamu sambamba na jinsi  walivyo ongozwa na Roho mtakatifu. Viongozi  wa nao ongoza shughuli hizi za kiroho wanahitajika kufundisha mafunzo kamili ya nayo funuliwa katika Bilblia.
Waandishi wa kitabu hiki  wali andika   wakitumia  wakati, elimu, ujuzi na nafasi za kijamii mbalimbali.
Na walipo  kusanya maandiko yote kwa kuweka kitabu kimoja yalikutwa ya naambatana.
Biblia ina tuambia  juu ya mipango ya Mungu  juu ya wokovu, ina weza  kutuongoza kwa kumaliza ubaya na kuwa katika hali njema, na hali yoyote inayo tufanya kuwa wenye zambi na wabaya wote. Lengo la biblia ni kutufanya  tujuwe na umoja kugombanisha kuto kuwa na ukabila wa rangi wowote  kwa ajili ya wokovu kupitia yesu kristo.
Agano lakale  na agano jipya  yana  tuunganisha wote  kwa yesu Kristo kama  mwokozi  kwa hali ya kiutu.  ( John 20:31) ina sema “Lakini hizi zimeandikwa ili mpate kuamini ya kwamba yesu ndiye Kristo, Mwana wa Mungu,na kwa kuamini mwe na uzima kwa jina lake”
(2Timotheo 3:15-17) inasema” najuwa kuwa Tangu kuwa utoto umeyajuwa maandiko matakatifu yanayo kuekimisha hata upate wokovu kwa imani iliyo katika kristo Yesu. ” Kila andiko lenye pumzi ya  Mungu ,la faa kwa mafundisho ,na kuwaonya watu makosa yao,na kwa kuwaongoza,na kwa kuwaadibisha  katika haki.Ili mtu wa Mungu awe kamili,amekamilishwa apate kutenda kila tendo jema.
Yaliyomo
Biblia  ni mchanganyiko wa  vitabu vigawanyikavyo kwa ahina mbili.  Agano  la Kale  na agano Jipya.
Agano lakale liliandikwa kabla ya yesu kristo, na agano jipya liliandikwa  baada ya yesu kristo,
Ndani ya biblia  muna vitabu 66 ambavyo viliandikwa na watu 40  kwa mda wa miaka 1500. Waliyaandika kwenye inchi tofauti kama vile Israel, Egypt, Italy na Babilone, Na  vitabu vyote vilivyo andikwa katika  inchi hizo , waliyaandinka  kwa kutenda  kazi  katika inchi mbali mbali  kwa malengo ya Mungu.
KUUSU AGANO LA KALE
Agano la kale lina gawanyika aina 4
A)   Vitabu vya  musa , B) Vitabu vya Historia  ,C)Vitabu vya washairi(Poetic), D)Vitabu vya unabii.
AGANO JIPYA:  Kuna aina inne
A)Rikodi za injili, B)Vitabu vya matendo ya Mitume ,C) Vitabu vya Ma baruwa ,D)Vitabu vya Ufunuo
Swali  ambalo tuna weza kujiuliza, Je Yesu Christo aliamini maneno ya agano la kale?
Tunakuta kwamba , Yesu  ni center ya sura yote ya mipango ya Biblia na wakati alipo zaliwa agano jipya  halikuwepo  na wakati huo ali tumia maandiko matakatifu kutoka  agano la kale.  Yesu aliamini kabisa maandiko matakatifu,na aliyatumia katika mafunzo yake na kukubali kama ni uongozi wa aliye juu.
Yoana 5:46-47 kwamaana kama mngali mwamini Musa,mngeniamini mimi; kwa sababu yeye aliandika habari zangu. Lakini msipoyaamini maneno  yake, muta yaamini wapi maneno yangu?
Yesu , Abrahimu, Isaka , Yakobo,Daudi,na Sulemani ni watu ambao wali fuata agano lakale na mafunzo yali husu mafundisho haya  kwamba  watu hao walikuwa katika kweli  na walikubali kuwa agano la kale ni neno la Mungu.
BIBLIA  HAIWEZI KUSHUHUDIA  UONGO
Kuna watu wengi wenye elimu ya juu, wali jaribu kuta futa uongo wa biblia, bali hawakufaulu kuuona na hadi wakashindwa kabisa. Inchi nyingi  zina uakika wa ukweli wa historia ya Biblia kama vile Misri,nanive,siria,babilone,Asiriana lebanone.
UNABII  UNAHAKIKISHA UKWELI WA BIBLIA
Mungu mwenyewe ali chaguwa unabii kama uakikisho  usio na kikomo wa ukuu wake kwa  viumbe vyote(Isahia46:9-10) . Tuna elewa wazi njisi biblia ili towa unabii ulio  sahii kuusu kuzaliwa kwa yesu. Biblia ilitowa unabii ya mambo yalio pita  kabla mamia ya miaka na kuja kuwa na uwakika katika agano jipya(Mika5:2) haya yana tupa nguvu na ukweli . Biblia ina sema katika (Yeremia 30:10-11).

KARIBUNI KWA USOMAJI
Tuna wasalimu wote.
Mafunzo ya wiki ya mwezi ulio pita ya liyo tolewa Na ndugu Ted Sleeper yali kuwa yenye changamoto Sana Kwa wote walio uzuria mafunzo hayo. Pot Luck alikuwa kiongozi Kama anavyo kuwa kila mara. Shukrani kwa wote walio leta mchango wao.
Juma mosi Februari 27 tutapokea ndugu Dennis Paggi Kwa kutowa neno lengo kubwa litakuwa “Kweli Ni ukweli wa Yohana?.”

JARIBIO, UVUMILIVU, UJUZI NA MATUMAINI.
Neno hili Ni historia ya njisi nilivyo pata kazi yangu ya kwanza kwenye Schoeder Elementary Kwa kungoja juu ya kazi iliyo funguliwa na ilikuja Katika mda wa Mungu. Ombi linalo andaliwa Ni kungoja, jaribio, cheo na maojiano tangu Agosti hadi Aprili. Mikokotano kati ya mauzurio ya chuo na wengine watawajia na mwishowe wito WA kazi ulio itaka, kwa jumla ya miaka miwili sasa inayo endelea, kuna mpangilio wa ginsi gani Mungu anafanya kazi kwa kututafautisha kumtumikia myaka yote Katika ukweli.

SABURI
Katika (warumi5:3) Ina tueleza tufurahi katika dhiki ya Mungu inayo wekwa Katika Mahisha yetu. Alitumia dhiki ya jaribio kukokota Na kuleta nguvu inje.
(Warumi5:2) inasema ambaye Kwa yeye tumepata Kwa njia ya imani kuifikia neema hii ambayo mna simama ndani yake Na kufurahi Katika tumaini la utukufu WA Mungu.3. Wala si hivyo tu, ILA Na mfurahi Katika dhiki pia, mkijua ya kuwa dhiki kazi yake Ni kuleta saburi 4. Na kazi ya saburi ni uthabiti wa moyo, na kazi ya usabithi wa moyo ni tumaini.(Mithali 3: 12)
Mfano (ayubu 42:12-17), yakobo 5: 11) Ayubu aliwekwa Katika majaribu makubwa kuliko wengi kwetu tuliyo yapata, Alipoteza vitu vyake vyote alivyokuwa navyo watoto wake na hata afya yake, kupitia majaribu hayo ya Ayubu tulifunza kwamba, mambo ya dunia iko Katika uchunguzi wa Mungu kuliko watu (wanadamu). Sasa Ayubu yalijulikana juu ya uvumilivu wake, na Mungu akambariki kwa uaminifu wake (yakobo12-3)

UVUMILIVU
Kupitia majaribu tunayo yapata tuna fundishwa kuwa wavumilivu Kwa kungoja Mungu afanye kazi Kwa ajili ya Mahisha yetu. Nani awezaye kuchukua juma ,myezi ao mwaka wa kujitatua( kujiokoa) ina wezekana kuwa ilimalizika Katika mda wa Mungu, vinginevyo hatujifunzi kitu kutoka kwenye ujuzi kwa hiyo kama hatutaki kuzibiti majaribu yetu Katika uvumilivu tuta kuwa vibayazaidi kuliko mbele(waebrania12:7-8) vilevile tuna ona kwamba ikiwa hatuta weza kuzibiti majaribu Mungu ataweka yote mbele yetu na tuta tupiliwa mbali . Mkono wake una fanya kazi Katika Mahisha yetu.
Mfano: (warumi 4:3; waebrania 11: 17-19).Angalieni Katika Mahisha ya Abraham, alikuwa ana itajika kuiacha inchi yake na kwenda kwenye inchi asio ijua, lakini aliahidiwa kuhirithi inchi hiyo na kuwa yake. Kwa wakati alipofika Katika inchi ya kanaani alielezwa angoje kuirithi inchi hiyo licha ya tendo kujiusisha na kupima kuchukuwa kitugani alicho ahidiwa kwake, uwaminifu wake ulingoja Mungu kwa ukamilifu wa mda wake.Kwa utashi mwema wa Abraham kwa kumtowa mwanae wa pekee kuwa dhabihu ilikuwa kutokuwa na matokeo tafauti ya yale aliyo uzuria, kwa kukamilisha ahadi ya Mungu mbele ya macho ya watu, kwa kumuacha bila uzao,bali alia mini Katika Mungu kwa kuka milisha ahadi Katika mda wake.
EXPERIENCE
Warumi 5:4 ina sema kwa kungoja kwa uvumilivu wa kazi ya Mungu Katika Mahisha yetu tuna somo lingine tena litajwalo Ujuzi, huu ujuzi unaweza kuwa una fanya kazi inje ya matatizo Katika mda wake ao kuonyesha kazi Anayo hifanya Mungu bila wewe kufanya chochote.
Mfano: (samweli 26: 7-12) Daudi alikuwa kijana na wakati alipo pakwa mafuta ni sauli ndiye aliye kuwa mfalme akiwaongoza wa Israel , kuliko kuchukua kutembea na yale ya liyo kuwa ya ukweli wake , alikuwa mwaminifu aliye saidia ufalme hadi Mungu alipo hamua kuuchukua kwa yule aliye uchukua kwa mda ulio kuwa wa kweli kwake kwa kuuchukua ufalme. Kwasababu ya uvumilivu na heshima kwa Mungu Katika haya na hali nyingine za Daudi ilikuwa imeandaliwa vizuri zaidi kwa sheria za ufalme wa Mungu na walikuwa wenye ukweli zaidi wakuongoza Katika macho ya watu kuliko kupiganisha juu ya ufalme Sikuwa nina taka kuanza OC-CYC, lakini walikuwa wana fanya kwa kungoja , na wakati walipojifunza sasa ujuzi ule walio itaji wa kutunga kundi, sikuwa kabisa nimeandaliwa kufanya yote ya muhimu sio kweli kuelewa yale yaliyo kuwa kweli yana itajika kwangu.Sababu ya kungojea OC-CYC ikosasa ime kuwa chombo cha sifa kwa vijana wa OC.
TUMAINI
Kwa huu ujuzi unakuja tumaini lenye kufundisha (jicho la imani) Tumaini ambayo ufalme WA mungu uta kapo rudi Na majaribu yote tunayo pitia itatusaidia kuwa karibu Kwa mfano tunao Pima kuufuata Katika Bwana wetu.
Mfanoufunuo 21:1-7) Nina weza kuwaza kutokuwa mfano mzuri wa ginsi gani Mungu ali sema na taifa la Israel tuta rudi kwenye eneo ,ujuzi wetu umetupa tumaini kuliko wakati tunapo tafuta kwenye unabii wa biblia(matayo24:32-38) mfano wa umbo tatu.na tulikuwa na uwezo wa kuona yale yaliyo tokea kabla ya macho yetu( ezekieli 38:11;14-16) tunapo kuwa wenye maumivu taifa la Israel lita zishugulisha wenyewe na Kibambazi cha kupima na kuleta amani kwenye maeneo, Kwa kuchunga mabomu inje ya inchi yao.( zaburi83:2-5) maadui Katina zaburi tuna soma kwamba mawazo yanayo pangwa na wanadamu. Hapa kuna alama zilizo fanywa Na makundi ya waeslamu juu ya Israel na inchi za mangaribi ambao wana saidia Israel.
Katika mwaka wa1968 Hassan Al-banna wa waeslamu ndugu wa karibu alisema (ikiwa inchi za wayaudi zikiwa Katika ukweli,, ( waarabu wata ongoza wa yuda ambao wanahishi kati yao ndani ya bahari.
Hamas Charter states ambazo lengo Lao lilikuwa kuiacha huru Palestine kutoka jordani kwenye bahari na hayo Israel itaendelea kuwepo hadi waeslam wata kapo ifuta.
Hassan Nasrallah alisema hakuna sululisho Kwa (Waarabu na Waisrael) Mwishowe ripoti iliyo fanywa na major kiongozi wa ueslamu: Oh Mungu, vunja Amerca, kama vile ilivyo chunguzwa na wayaudi wa sayuni. Mungu atafanya hukumu kati ya jina la nabii wake wa waamiaji wa koloni walio toka kwenye uzao wa Nyani na Nguruwe. Tunaweza kuona njisi gani reporti iliyo fanywa Katika zaburi ahikusikilika Katika alama ya maadui wa Israeli.sasa kama tumekaribia mda wa kristo kurudi na kila ukamilifu wa unabii tunaona na wengine wa ahadi za Mungu aliye chunguza , Marudilio ya ahadi zake kubwa zaidi ya yote kwetu ni ahadi iliyo patikana Katika (ufunuo21: 1-7) na ahadi tunayo wote kwa kirefu ni kukamilishwa.
Katika hilo tumaini ,ambalo ujuzi wa kurudi kwa bwana wetu na uwepo wa ufalme wa baba Mungu utakao kuwa hapa duniani ambao tunao utafuta kwa sasa wote wanao tuzunguka tuna weza kuona alama ya kuja kwake na kila siku zaidi ya yote alama zina kuwa zina tokea ambazo tuna weza tayari kuona na macho yetu ya imani. Vilevile Kama wakati tunapo towa mda wakushangaza hatuta kwenda mbali Na majaribu tunayo yaona. Tungekumbuka maneno Katika (warumi 8:28) Kama mwisho wa maandalizi ya maitaji ya upendo wa Mungu, wafuasi wake Kwa kukamilisha kabla haja jiunga nao. Kwa hiyo Dunia inaweza kuwa imejazwa Na utukufu wa Mungu kwamba kutokuwepo na uongo na zambi ya dunia hii inayo tuzunguuka ina weza kuwa imemalizika milele.

Ni Kwa sababu hiyo tunajumuika kila juma pili Kwa pamoja Kwa kukumbuka sisi wenyewe mambo haya na kurudilia lile tulilo hakikisha Katika ubatizo wetu. Tupo hapa Kwa kuoji juu ya nguvu kutoka Kwa Mungu Kwa kuonyesha majaribu yaliyo tupata Katika maisha yetu. Tupo hapa Kwa kuomba Mungu Kwa uvumilivu tunaopata Kwa majaribu haya yaliyo suluhishwa Katika mda wake. Tupo hapa Kwa kuunganisha juu ya ujuzi tulio pokea kutoka kwenye uvumilivu yameandikwa ,kazi za majaribu.Kweli naja upesi amina.Tena vilevile njoo Bwana yesu neema ya Bwana wetu yesu iwe pamoja Na wote Amina.

MAWAZO JUU YA MIEZI.
• Kitu gani kizuri zaidi cha kutowa kila siku Kwa mwaka Kwa adui ni = msamaa.
• Kwa mpinzani =Uvumilivu
• Kwa marafiki =Roho yako
• Kwa wateja =Shuguli
• Kwa wote =kujitowa
• Kwa watoto= mfano mzuri
• Kwako mwenye =Adabu.

%d bloggers like this: